Sambaza

Swae Lee Amtumia Prodyuza Nyimbo 733 Kwa Ajili ya Album Yake Mpya

Nyota wa Muziki nchini Marekani ambaye alitamba sana ukanda wa Afrika Mashariki na wimbo alioshirikishwa na French Montana uitwao “Unforgettable” amewashtua mashabiki wa muziki baada ya kubaini kuwa amemtumia prodyuza “Mike Will Made It” nyimbo 733 ili achague zipi ziingie kwenye album yake.

Habari hizo zilithibitishwa na Mike Will Made It mwenyewe baada ya kuweka habari hizo kwenye ukurasa wake wa twitter ambapo aliandika “Huyu jamaa Swae Lee amenitumia nyimbo 733 ili nichague zipi za kuingia kwenye album.”

Swae Lee alitangaza kuja na album yake mwezi Machi

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey