Sambaza

Davido Apewa Shavu na Teyana Taylor Kwenye Album Mpya

Ni rasmi kuwa mwanamuziki wa Marekani Teyana Taylor anatoa albumyake mpya.

Baada ya kuachia orodha ya nyimbo pamoja na wasanii watakaosikika kwenye album hiyo, jina la msanii kutoka Nigeria Davido limeonekana na kufamfanya msanii huyo wa Nigeria kuendelea kula mashavu ya Wamarekani.

Wimbo ambao Davido ameshirikishwa unaitwa “Killah” huku ukiwa ni wimbo namba kumi kwenye album ya mwanadada Teyana.

Album hiyo imesheheni wasanii nguli wanaotamba kwa sasa na zamani kama Quavo, Big Sean, Lauryn Hill, Future, Miss Elioty, Rick Ross na wengine kibao huku ikiwa na nyimbo 23.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey