Sambaza

Mashabiki wa Kobe Bryant Wapigwa ‘Block’ na Familia ya Kobe Bryant

Vanessa Bryant na mwanae Natalia hawana shida na mashabiki wa Kobe Bryant ambao kila kukicha wamekuwa wakiwepa picha za mcheza kikapu huyo na mwanaye Gigi waliofariki kwenye ajali ya ndege.

Ila ni wazi familia ya marehemu imechoka kuona picha za wapendwa wao kila saa watakayokuwa mtandaoni na kusema kuwa haiwasaidii kuyasahau maumivu waliyoyapata.

“Tunawapenda wote ila tunaomba mtuelewe juu ya hili, ni kwa ajili ya afya yetu,” alisema Vanessa ambaye baada ya kuwapiga tofali (Block) mashabiki hao wa Kobe Bryant.

“Wengi wenu mmeona tumebadili kurasa zetu za kijamii kuwa za binafsi na imetubidi kuwablock baadhi ya mashabiki kwa sababu wamekuwa wakiweka picha zetu na baba yetu kila mara nah ii haitusaidii,” aliongezea Natalia ambaye ni motto wa Kobe Bryant na Vanessa.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey