Sambaza

Tory Lanez – ‘Sitakwenda Tena Sehemu Zinazonitaka Niende na Bunduki Yangu’

Nyota ambaye amekuwa akipata umaarufu kwa kasi ameamua kubadili aina ya maisha anayoishi na sehemu anazokwenda.

Kupitia instagram rapa huyo aliandika “imefika mahali kwenye maisha yangu sitakwenda tena sehemu ambazo zitanilazimu kwenda na bunduki yangu, sihitaji kuwa sehemu za hivyo tena.”

Huenda hali ya kisiasa na vifo vya wasanii kama Pop Smoke na Houdini vimechangia Tory Lanez kufikia maamuzi hayo.

Kwa sasa msanii huyo anajiandaa kutoa video ya wimbo wake uitwao “Stupid Again” unaopatikana kwenye album yake ya “The New Toronto 3.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey