Kizz Daniel Atoa Album Mpya
Msanii Kutoka Nigeria Kizz Daniel ameachia #Album yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘King OfLove’ ambapo ameshirikiana vyema na maprodyuza wawili kukamilisha album hiyo.
Kizz Daniel ambaye siku za hivi karibuni amejiunga na label mpya ambayoi pia ni kampuni ya kusambaza muziki iitwayo Empire na hii ndiyo kazi yao ya kwanza na mashabiki wa Kizz Daniel wanaamini label hii itafikisha muziki wa msanii huyo mbali zaidi.
Album hii ni ya tatu ambapo yaa kwanza aliitoa mnamo mwaka 2016 ambapo iliitwa ‘New Era’ na ya pili ilitoka mwaka 2018 ambayo hii iliitwa ‘No Bad Songs.’
Toa Maoni Yako Hapa