Sambaza

Harmonize Ampiku Alikiba

Harmonize ni miongoni mwa wasanii bora Tanzania na hili linaweza kudhibitika kwa kutazama namna amekuwa kwenye tasnia ya Bongo bila kukwama.

Huenda juhudi zake ndizo zilizowafanya mashabiki kumfuatilia kwa wingi kwenye kurasa zake za mitandao na sasa ndio msanii wa kiume namba 2 kwa kuwa na wafuasi wengi kwenye kurasa yake ya Instagram akiwa na wafuasi milioni 5.7 huku akimpiku Alikiba mwenye milioni 5.6

Wafuasi hawa huwa ni moja ya vigezo ambavyo makampuni huangalia wakati wakitaka kufanya matangazo hivyo hii ni hatua nzuri kwa Harmonize.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey