HARMONIZE Kutoa Wimbo Wa Yanga SC
Msanii wa Bongo fleva, Harmonize, anatarajiwa kutoa wimbo unaohusu klabu ya Yanga Sports Club usiku wa leo.
Taarifa hizo zimethibitishwa na mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msola, ambaye ameyasema maneno hay oleo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Toa Maoni Yako Hapa