Sambaza

Vladmir Putin, Mwanasiasa Tajiri Zaidi Duniani

Vladmir Putin, ambaye ni Rais wa Urusi ndiye mwanasiasa tajiri zaidi duniani ambapo anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola za marekani Bilioni 70.

Mwanasiasa huyo amewapiku wanasiasa matajiri wa falme za kiarabu na Marekani ambapo anaayemfuata ni Micheal Bloomberg ambaye ni Mmarekani mwenye utajiri wa dola za Marekani Bilioni 56.

Rais Trump anashika nafasi ya 20 kwenye orodha hiyo amabapo anautajiri wa dola za marekani Bilioni 3.1

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey