Sambaza

Yanga SC Wataja Cheo Cha Senzo

Timu ya soka Tanzania bara, Yanga Sports Club, leo imeweka bayana cheo cha Senzo Mbatha baada ya kuhamia klabuni hapo akitokea Simba Sports Club.

Wakizungumza na Wanahabari, mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msola, alitoa nafasi ya waandishi hao kuuliza swali na mwandishi mmoja aliuliza kuhusu cheo cha Senzo klabuni hapo na Msola alijibu na kusema “Senzo ni Mshauri wa timu.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey