Sambaza

JUX: Vanessa Mdee Alinisikitisha Sana

Msanii wa Bongo Fleva, Juma Jux, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na uamuzi wa Vanessa Mdee wa kuachana na masuala ya muziki.

Jux ameyasema hayo leo Agosti 25, akiwa anatambulisha ujio wa tamasha lake na mmoja wa waandishi walimuuliza kuhusu Vanessa kuhudhuria tamasha hilo.

“Watu wangu nimewaambia wafikishe mualiko kwa wadada wote kwenye tasnia na naamini Vanessa Mdee ni miongoni mwa watu walio kwenye tasnia japo nilisikitika sana kusikia anaacha muziki lakini pia naamina hatokuwepo ila kama angekuwepo ningetamani angekaribishwa.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey