Sambaza

The Weekend Afunguka Kuhusu Bifu Lake Na Usher Raymond

Miongoni mwa wasanii ambao hawajihusishi na mabo ya bifu ni pamoja na Usher Raymond na The Weekend.

Miezi kadhaa iliyopita, The Weekend alizungumza jambo kuhusu Usher Raymond ambapo alisema kuwa Usher Raymond anaimba kama yeye jambo ambalo lilifanya mashabiki kuanza kuwaingiza kwenye ugomvi.

The Weekend amefunguka juu ya uwepo wa bifu kati yake na Usher na kusema kuwa “nilimpigia simu na kumuomba msamaha na nilimuambia sikuwa na nia mbaya.” The Weekend alifunguka na kusema kuwa alikasirika kuona watu wakipokea vibaya kauli yake.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey