Katy Pery Apata Mtoto na Mumewe Orlando Bloom
Msanii, Katy Perry, ni mama rasmi.
Imewekwa bayana kuwa Katy Pery amejifungua mtoto huku taaarifa hizo zikiwekwa mtandaoni kwa mara ya kwanza na UNICEF.
“Karibu duniani, Daisy Dove Bloom, tunafuraha kuwataarifu kuwa mabalozi wetu Katty Perry na Orlando Bloom wamepata mtoto,” Uliandika ukurasa wa UNICEF.
Mume wa Katy Perry alirudia ujumbe wa UNICEF kwenye ukurasa wake wa instagram na kufanya watu wathibitishe taarifa hizo.
Toa Maoni Yako Hapa