Sambaza

Rick Ross Atangaza Ujio wa Album, “Richer Than I’ve Ever Been”

Bosi wa ‘lebo’ ya muziki ya Maybach Music, Rick Ross, ameweka wazi kuwa kinachofuat kutoka kwake ni album mpya ambayo ameipa jina la “Richer Than I’ve Ever Been.”

“Album yangu mpya ipo njiani,” alisema Rozay kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Akizungumzia kuhusu jina la album hiyo ambalo tafsiri yake kwa Kiswahili ni ‘Tajiri Kuliko Nilivyokuwa,” Rick amesema kuwa wazo la kuita album yake hivyo ni kutokana na mazungumzo aliyofanya siku moja na mzee mmoja ambapo alisema “kiimani mimi ni tajiri na nina utajiri kuliko nilivyokuwa.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey