Sambaza

Diamond Atoa Neno Kuhusu Harmonize Kuanguka

BOSI wa WCB, Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha kuwa hana tatizo na aliyekuwa msanii wake, Harmonize.

Hii ni baada ya kujibu comment moja iliyoandikwa kwenye ukurasa wake wa instagram ambapo mwandishi wa Comment hiyo alionekana kama kukejeli kitendo cha Harmonize Kudondoka alipokuwa akiingia kwenye tamasha la wiki ya wananchi.

Shabiki huyo aliandika “kuna kijana wako kaanguka huku, nafikiri amesahau mazoezi ya WCB.”

“Ajali Kazini, inatokea wakati mwingine… usimcheke muombeeni ndio uungwana,” alijibu Diamond Platnumz.

Nini Maoni Yako?

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey