Sambaza

Juma Nature: “Diamond Hamuwezi Harmonize”

Legendari wa muziki Tanzania, Sir Juma Nature ‘Kiroboto’ amesema kuwa kwa sasa Diamond hamuwezi kabisa Harmonize.

Akiwa kwenye sherehe za kuhitimisha wiki ya wananchi, Juma Nature aliulizwa juu ya shoo aliyofanya Harmonize na alijibu “Huyu Konde Boy…Diamond humuwezi Harmonize… hamuwezi Harmonize, hata afanyaje.”

Hata hivyo Juma Nature alisema wasanii wote wanaupekee japo alitupa dongo lingine na kusema kuwa wazo la Diamond kuingia na Helkopta kwenye shoo ya Simba halikuwa wazo kubwa kama la Harmonize.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey