Sambaza

Gucci Mane Atajwa Kwenye Kesi ya Mauaji

Msanii Gucci Mane ameingia matatani baada ya jina lake kutajwa kama miongoni mwa watu wanaoshukiwa kuhusika na mauaji ya mwanamke aliyefahamika kwa jina la Mykala Bell.

Kesi hiyo inadai kuwa Gucci Mane na wenzake waliruhusiwa kuingia kwenye kumbi ya starehe (tukio la mauaji lilipotokea) bila kufanyiwa ukaguzi.

Mmiliki wa kumbi hiyo ya starehe pia ameingizwa kwenye orodha ya washukiwa huku akilaumiwa kwa mali yake kutokuwa na ulinzi wa kutosha.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey