Sambaza

Greenwood Aomba Msamaha Kwa Kuingiza Mrembo Kambini

Nyota wa Manchester Unted, Mason Greenwood,  ameomba msamaha kwa jambo la aibu alilolifanya akiwa na timu ya taifa ya Uingereza.

Mason na mwenzake walikamatwa wakiwa wanajaribu kuingiza warembo wa Iceland kinyume na sheria walizowekewa ili kujilinda na ugonjwa wa Covid 19.

“Baada ya kulitazama kwa kina jambo hili, ninachoweza kufanya ni kuomba msamaha kwa jambo la aibu nililofanya,” alisema Mason Greenwood.

“Nina waahidi mashabiki zangu kuwa jambo hili litakuwa ni funzo kwangu na halitatokea tena, ilikuwa heshima kubwa kwangu kuchezea timu ya taifa na  sina wa kumlaumu ila nafsi yangu,” alimalizia Mason.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey