Sambaza

KUSAH : ” AUNTY EZEKIEL HANA MIMBA YANGU “

BAADA ya hivi karibuni kuhusishwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Aunty Ezekiel, msanii wa Bongo Fleva, Kusah, amekanusha suala hilo huku akisema hajui limetokea wapi.

Kusah amesema:- “Kwanza kabisa maneno mi nayasikia, lakini mimi Aunty Ezekiel sio mpenzi wangu na hana ujauzito wangu na sijui hata hivyo vitu vinatokea wapi. Labda kwa sababu ananisupport, lakini hakuna kitu chochote kinachoendelea kati yetu,” alisema.

Kuhusu Maneno ya Shamsa Ford, Kusah amesema hajamuelewa, kwa sababu hata kama kweli angekuwa na mahusiano na Aunty kusingekuwa na tatizo lolote kwa sababu Aunty hana ukubwa huo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey