Sambaza

Ronaldo Hapendi Kucheza Bila Mashabiki

Unachukuliaje suala la kucheza mechi bila kuwa na mashabiki uwanjani?

“Ni uduwanzi kaka…” alijibu Christiano Ronaldo.

“Ni kama kwenda kwenye bustani isiyokuwa na maua” aliendelea kusema Ronaldo alipoulizwa swali na mwandishi wa habari mara baada ya mechi ya Ureno dhidi ya Sweden.

“Wachezaji hatupendi hali hii lakini nimeanza kuzoea, hua ninajiweka sawa kisaikolojia kabla ya kuingia uwanjani nikijua kabisa hakutakuwa na mashabiki.”

Kufungia mashabiki kutoingia uwanjani ni juhudi za dunia kupambana na ugonjwa wa Covid 19 lakini hali ya kutokuwa na mashabiki uwanjani huenda lisiwe kikwazo kwa Ronaldo kwani bado moto wake unaendelea kama kawaida yake ambapo kwenye mechi ya Ureno dhidi ya Sweden, Ronaldo ndiye aliyefunga mabao yote mawili yaliyoipa usshindi Ureno wa bao 2 – 0.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey