Sambaza

Tanzia: Mama Mzazi Wa P Funk Afariki Dunia

Mtayarishaji Paul Matthysse ‘P Funk Majani’ anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi (Aunt Sheilah) kilichotokea Septemba 8, 2020, nje ya nchi.

Mipango ya kurejesha mwili na taratibu za mazishi inaendelea, kwa sasa msiba upo Kilosa mkoani Morogoro na Mipango ya kurudisha mwili inaratibiwa.

Ndugu, jamaa na marafiki mlioguswa na msiba huu mnaalikwa nyumbani kwa Majani (Bamaga/ Nyuma ya Petrolstation ya Bamaga) siku ya Septemba 19, 2020 kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey