Sambaza

Alicia Keys, Diamond Platnumz Wana Jambo Lao

NGULI wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametokea kwenye playlist ya Nguli wa muziki Marekani, Alicia Keys.
Alicia ametangaza ujio wa album yake ambayo itatoka ijumaa na tayari ameachia orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album hiyo ambpo wimbo namba 4 ameshirikiana na Diamond.
Pamoja na hilo pia kupitia Spotify, Alicia ametangaza nyimbo kadhaa ambazo husikiliza na miongoni mwa nyimbo hizo zipo mbili kutoka kwa Tanzania One, Diamond Platnumz, ambazo ni African Beuty pamoja na Nana.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey