Wimbo Wa Lady Jay Dee Matatani Kufungiwa
Wimbo wa Lady JayDee, One Time, huenda ukafungiwa na BASATA kwa madai ya kuhamasisha uvutaji bangi. Mamlaka hiyo yenye dhamana ya kusimamia maudhui ya sanaa imesema kuwa limepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa muziki na wanalifanyia kazi suala hilo.
Toa Maoni Yako Hapa