Sambaza

WCB Yang’ara Kimataifa, Grammy Hizoo…

Lebo ya kusimamia muziki nchini Tanzania, Wasafi Classic Baby (WCB), Imeendelea Kung’ara kwenye anga la kimataifa baada ya wasanii wawili kutoka lebo hiyo kuingizwa kwenye tuzo kubwa duniani  za Grammy.

Diamond Platnumz ambaye ndiyo muanzilishi wa lebo hiyo ameingiza nyimbo mbili kwenye tuzo hizo ambazo ni JEJE na BABA LAO ambapo anashindania kipengele cha Video bora ya mwaka.

Rayvanny au Vanny Boy kama anavyopenda kujiita pia amekuwa msanii mwingine kutoka WCB Kuingia kwenye tuzo hizo ambapo ameingiza EP yake ya FLOWERS  Kwenye kipengele cha Album Bora ya mwaka.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey