Sambaza

Cardi B – “Ni Ngumu Kuishi Bila Kufanya Mapenzi”

MSANII Mwenye vituko vyake nchini Marekani ameamua kupotezea talaka aliyoiomba kutoka kwa mume wake, Offset.

Card B aliripotiwa akitaka talaka ya mume wake lakini ghaflaa mawazo yakabadilika baada ya mume wake huyo kumpelekea zawadi ya gari aina ya Rolls n Royce kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa kwake.

Kwenye instagram yake, Cradi alijibu swali la shabiki yake kuwa ni sababu gani alirudiana na Offset na kusema, “Nilianza tu kumis na pia siwezi kuishi bila kufanya mapenzi.”

“Ni kweli ninapnda vitu na aliniletea gari ulitaka nifanye nini na nilikuwa nataka mtu wa kufanya naye mapenzi kwenye siku yangu ya kuzaliwa,” aliongeza Cardi B.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey