Kim Kardashian Ampiga Chini Rihanna
NYOTA wa Marekani, Kim Kardashian West, ameendeleza ubabe kwa mara nyingine baada ya kutajwa kwenye jarida la Forbes kuwa ni miongoni mwa wananwake wenye pesa nyingi walizotengeneza wenyewe yaani ‘Self Made.’
Kim Kardashian ameshika nafasi ya 24 akiwa na utajiri wa dola za Marekani Milioni 780 huku akiwabwaga mastaa wengine kama Rihanna ambaye ameshika nafaasi ya 33 akiwa na utajiri wa dola za Marekani milioni 600 huku Kylie Jenner akishika nafasi ya 26.
Toa Maoni Yako Hapa