Sambaza

Post Malone Agaragaza Magwiji ‘Billboard’

MSANII wa Marekani, Post Malone, amefanya ubabe wa namna yake baada ya kuchukua tuzo 9 za Billboard mbele ya magwiji kibao wa Marekani na Ulaya kama Justine Bieber, Drake, Ed Sheeran, na wengine.

“Kiukweli ninashangazwa sana na upendo ninaoupata, ni jambo kubwa kwangu na kwa wote tunaopambana pamoja,” alisema Post Malone.

Tuzo za Billboard 2020 zimetolewa usiku wa kuamkia leo Oktoba 15, ambapo wasanii mbalimbali wamepafomu huku John Legend akigusa roho za wengi baada ya kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya mkewe ambaye kwa pamoja walipoteza mtoto wao (alifariki) siku za karibuni.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey