Sambaza

Kanye West Apiga Kura Kwa Mara Ya Kwanza

RAPA ambaye pia anagombea Urais wa Marekani, Kanye West, ametekeleza wajibu wake wa kupiga kura ambapo ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo.

Kupitia Kurasa Yake ya Twitter, Kanye, ameandika “Mungu ni mwema, leo nimepiga kura ya kumchagua Rais wa Marekani kwwa maraa ya kwanza na nimempigia kura mtu ninayemuamini zaidi na siyo mwingine ila Mimi (Akiimaanisha amejipigia kura).”

Hata hivyo haijafahamika kama mke wake (Kim Kardashian) amempigia kura au la maana Kim amekuwa akionekana kumuunga mkono, Joe Bidden, ambapo amekuwa akisambaza baadhi ya jumbe kwenye twitter zinazoonesha kuunga mkono juhudi za Joe Bidden.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey