Sambaza

Yemi Alade: Biashara Ya Muziki Ni Ngumu

Baada ya Vanessa Mdee, mwimbaji Yemi Alade anaongezeka kwenye orodha ya wasanii wa Kike ambao wanakitupia lawama kiwanda cha muziki pamoja na biashara nzima.

Kwenye ukurasa wake wa twitter, Yemi Alade ameandika “Biashara ya muziki ni ngumu sana, hakuna mtu anayetaka kukufurahia hadi unapoanza kupata mafanikio. Ninaomba tutieni nguvu, sio rahisi.” ameandika Yemi Alade ambaye ni miongoni mwa waimbaji nyota wa Kike barani Afrika.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey