Sambaza

Young Thug Alimpa Lil Baby Pesa Afanye Muziki

Lil Baby aliwahi kumshukuru Young Thug kwa kumtambulisha kwenye muziki wa Rap lakini Young Thug hakuwai kuongea chochote lakini sasa anathibitisha kuwa amekuwa mchango mkubwa kwa Lil Baby kufanya vizuri kwenye tasnia hiyo.

Kupitia ‘Podcast’ ya msanii T.I, Young Thug amesema kuwa alifanya jitihada ili Lil Baby aachane na mambo ya mtaani na afanye muziki.

Katika Mazungumzo, T.I alimuuliza Thug, “Lil Baby alirekodi wimbo na kusema ulikuwa ukimpa pesa ili afanye muziki, ni kweli?” Thug alijibu na kusema “Yule jamaa hakujua uwezo aliokuwa nao.”

“Nilikuwa nasoma mistari anayoaandika kwenye picha anazoposti nikawa namuambia kaka unaweza kurap akaniambia nikitoka jela nitatafuta hela nitafanya jaambo ndipo nilipoamua kumpa pesa,” alisema Young Thug.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey