Sambaza

Ndoa Ya Kim Kardashian, Kanye West Kitendawili

Msanii Kanye West na Mwanamitindo Kim Kardashian wamekuwa ndani ya ndoa kwa miaka 6 lakini inasemekana kuwa ndoa hiyo inapitia wakati mgumu kwa sasa.

Kanye na Kim inasemekana kila mtu anafanya mambo yake binafsi huku wakizingatia vitu wanavyovipenda zaidi bila kujali kitakachotokea kwenye ndoa yao kwa mujibu wa jarida la E News.

“Wanatumia muda mwingi kila mtu akiwa kivyake,” alisema mtu mmoja ambaye jarida hilo limehifadhi jina lake “Bado ni familia na hukutana kwa ajili ya watoto,” aliongeza

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey