Cardi B Achekelea Kesi Ya Bilioni 57
KESI ya aliyekuwa Meneja wa Cardi B, Klenord Raphael, dhidi ya Msanii huyo imepigwa chini na mahakama baada ya miaka miwili ya kusikilizwa kwa kesi hiyo.
Meneja huyo alimshtaki Card B mwaka 2018 kwa kile alichosema kuwa yeye ndiye aligundua kipaji cha msanii huyo na baadae msanii huyo kuvunja mkataba baina yao kinyume na makubaliano.
Katika kesi hiyo, Klenord, alitaka kulipwa fidia ya zaidi ya Bilioni 57 za Kitanzania
Toa Maoni Yako Hapa