Sambaza

Sho Madjozi – “Hii Ni Tanzania Sio South Afrika”

Mwanamuziki Sho Madjozi amewaambia shabiki zake hasa wa South Afrika ambako ndipo anapotokea kuwa hajavunja sheria zilizowekwa na serikali ya nchi hiyo katika kupambana na Corona bali yupo Tanzania ambako hakuna ugonjwa huo.

Sho Madjozi ambaye yupo nchini Tanzania akiendelea na shoo zake ameweka picha kwenye kurasa yake ya instagram na kuandika “Inaonekana kama ajabu nikiposti shoo zangu kwani naonekana kama navunja sheria za Corona. Tupo Tanzania ambapo sheria hizo hazipo kwani haakunaa Corona.”

Japokuwa wengi wameonekana kuelewa anaachosema Sho Madjozi lakini baadhi ya mashabiki hawakumuacha hivi hivi na kumuambia “Uistuletee Virusi” lakini Sho alisafisha hali ya hewa na kusema “Nitahakikisha ninapima kabla ya kurudi, ninaona aibu.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey