Sambaza

Billboard Watangaza Album 10 Bora Afrika 2020

Ikiwa yamebaki masaa machache kabla ya mwaka 2020 kumalizika, Billboard wametangaza album kumi zilizofanya vizuri barani Afrika kwa mwaka huu huku wasanii wa Nigeria wakiendelea kukimbiza tasnia ya muziki barani Afrika.

1 Wizkid – Made in Lagos

2 Burna Boy – Twice as Tall

3 Davido – A Better Time

4 Amri Diab – Sahran

5 Olamide – Caroe Diem

6 Ama area – The Angel You Don’t Know

7 Nasty C – Zulu Man With Some Power

8 Adekunle Gold – Afro Pop Vol 1

9 Sauti Sol – Mid Night Train

10 Casper Nyovest – A.M.N

Sauti sol pekee ndio waliowakilisha Afrika kusini. Unadhani wasanii wa Afrika Mashariki wanafeli wapi?

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey