Sambaza

Takeshi 6ix9ine Msanii Namba 1 You Tube

Chati za Billboard zimemtangaza msanii 6ix9ine kuwa ndiye msanii aliyetazamwa zaidi kwenye You Tube kwa mwaka 2020.

6ix9ine ametazamwa mara Bilioni 2.3 huku akiwa na jumla ya nyimbo 8 alizotoa mwaka huu baada ya kutoka jela.

Wasanii wanaofuata ni NBA Youngboy ambaye ametazamwa mara Bilioni 2.2 na Eminem aliyetazamwa mara Bilioni 2.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey