Sambaza

staa wa mziki wa rap silento akamatwa kwa tuhuma za kumuuwa binamu yake

staa wa mziki wa rap silento aliepata umaarufa kwa nyimbo yake (whip/ nae nae) amekamatwa baada ya kudaiwa kumpiga risasi binamu yake Frederick Rooks. Rooks aliuawa mwezi uliopita – polisi  wamemkamata mtuhumiwa jumatatu. Idara ya Polisi ya Kaunti ya DeKalb huko Georgia ilitangaza habari kwamba nyota huyo wa rap amekamatwa nakushtakiwa Jumatatu.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey