Sambaza

lady jaydee kuachia albamu yake ya 8

Dada Mkuu Lady Jaydee ambae mwaka 2020 alisherehekea miaka yake 20 kwenye Bongofleva, tarehe 12 ya February hii ataachia album yake ya 8 na ametangaza tutakapokusanyikia kuwa ni Serena Hotel DSM.

“Kiingilio kitakua ni shilingi laki mbili na kwa meza moja inayochukua Watu kumi bei itakua ni Tsh. milioni mbili, kwenye hii album nimetoa nafasi zaidi ya Watu kuniandikia nyimbo tofauti na album zilizopita” – #jidejaydee

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey