Sambaza

nyimbo ya waah by diamond platnumz yafikisha views million 40

ikiwa ni miezi miwili tuu tangu wimbo wa “Waah” wa diamondplatinumz aliyomshirikisha mkongwe koffiolomide kuachiwa rasmi,hatimaye wimbo huo umefanikiwa kufikisha watazamaji milioni 40 kupitia mtandao wa Youtube.

Wimbo wa “Waah” ulitoka November,30,2020 hivyo ni ndani ya miezi miwili tuu wimbo huo umefikisha watazamaji milioni 40,wimbo huu unaongeza idadi ya nyimbo za diamondplatinumz zilozo na watazamaji wengi kupitia mtandao wa Youtube nyimbo nyingine ni kama “Nana” ina watazamaji milioni 70,”Inama” ina watazamaji milioni 82,”African Beauty” ina watazamaji milioni 57,”Marry You” watazamaji milioni 48 na nyinginezo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey