Alikiba ndani ya studio na mayorkun
Msanii @officialalikiba aliweka wazi kupitia ukarasa wake wa twitter kuwa kuwa amepiga kambi Nigeria kwa week mbili kumalizia Album yake ambayo ataitoa mwaka huu 2021.
Msanii huyo ameonekana studio na msanii kutoka Record Label ya Davido (DMW) @iammayorkun wakiredoki na huenda ikiwa ni wimbo ambao utapatika kwenye Album mpya ya @officialalikiba
Toa Maoni Yako Hapa