Sambaza

Mashabiki Wakesha Nje ya NYUMBA YA DMX Wakiomboleza

Wakati ratiba ya mazishi ya mkali wa Hip Hop, Earl Simmons ‘DMX’ aliyefariki April 9, 2021 ikiwa bado haijatolewa, maefu ya mashabiki ya msanii huyo wameendelea kuweka kambi nje ya yaliyokuwa makazi ya DMX wakiendelea na maombolezo.

Mashabiki wa DMX wameonekana kwa wingi nje ya nyumba ya DMX iliyopo Yonkers jijini New York wakiwa na maua na mishumaa wakiomboleza kifo cha mkongwe huyo ambaye moyo wake wa kujichanganya na watu wenye kipato cha chini na kuwasaidia kumesababisha kifo chake kiguse mioyo ya watu wengi duniani kote.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey