Sambaza

ROSE NDAUKA Amshauri KAJALA Sakata la Paula

 

Msanii wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka ambaye kwa sasa amehamia rasmi kwenye muziki wa Bongo Fleva, leo ametimba katika Studio za +255 Global Radio na kufanya mahojiano katika kipindi cha Bongo 255 ambapo mbali na mambo mengine, ametoa ushauri kwa msanii mwenzake, Kajala Masanja kuhusu ishu ya mwanaye Paula.

Akizungumza na +255 Global Radio, Rose Ndauka amesema si vyema mzazi kuzidisha urafiki na mwanaye kiasi cha kuvuka mipaka na kumfanya mtoto apoteze mwelekeo.

“Mzazi anapaswa kusimamia majukumu yake kama mzazi lakini pia kuwafanya watoto wawe na urafiki na wazazi ili wawe wanawaeleza matatizo yao,” alisema Ndauka.

Kuipata full interview, ingia Global TV Online na Global Radio TV!

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey