Sambaza

Mourinho ATIMULIWA UKOCHA Tottenham Hotspurs

Kocha wa Klabu ya Tottenham Hotspurs, Jose Mourinho ametimuliwa kazi ya kuinoa  klabu hiyo kutokana na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha na kushindwa kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League) msimu ujao.

Mourinho, mwenye miaka 58, alichukua mikoba ya Mauricio Pochettino Novemba, 2019 lakini mwenendo wake umekuwa tofauti na wengi walivyotarajia baada ya kufeli kwenye Europa League.

Inatajwa kuwa Ryan Mason na Chris Powell wanapewa nafasi ya kuifundisha timu hiyo kabla ya msimu huu kukamilika.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey