Sambaza

LIL WAYNE AFUNGA NDOA NA MREMBO DENISE BIDOT

Rapa mkubwa duniani, Lil Wayne, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu ambaye pia ni mwanamitindo, Denise Bidot katika sherehe ndogo iliyofanyika jijini Los Angeles.

Wayne na Denise wamekuwa penzini kwa takribani miaka minne sasa na licha ya purukushani za hapa na pale zilizosababisha wawili hao kutengana mwaka mmoja uliopita, hatimaye wamefanikiwa kufunga pingu za maisha.

Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa mastaa nchini Marekani, sherehe ya ndoa ya wawili hao, imehudhuriwa na idadi ndogo ya watu na imefanyika kwa usiri mkubwa.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey