Sambaza

SHILOLE AFUNGA NDOA NA ROMMY

Msanii wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunga ndoa na mchumba wake, Rajab Issa ‘Rommy’.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shilole amethibitisha kufunga ndoa na Rommy na hii inakuwa ni ndoa yake ya pili, baada ya awali kuolewa na Ashraf almaarufu Uchebe kisha kuachana.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey