Sambaza

CHRIS BROWN AINGIA MATATANI SAKATA LA UBAGUZI WA RANGI

Staa mkubwa wa RnB kutoka nchini Marekani, Chris Brown ameingia katika kashfa kubwa ya ubaguzi wa rangi baada ya kudaiwa kuwazuia wanawake weusi kuingia kwenye pati yake aliyoiandaa hivi karibuni.

Kwa mujibu wa mtandao wa MTO, Chris alikuwa ameandaa pati yake huko Hollywood lakini akawazuia wanawake weusi kuingia huku akiwatolea maneno makali.

Mwanamke mmoja mweusi, ameiambia MTO kuwa yeye na rafiki zake watatu, walienda kwenye pati hiyo lakini walipofika, Chris aliwaruhusu wale wengine kuingia huku akimzuia yeye kwa sababu ya rangi ya ngozi yake.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey