Sambaza

Maua Sama: Wasanii Punguzeni Uongo Mitandaoni

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amewataka wasanii wenzake waache mikwara kwenye kazi.

Maua ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ya Wivu aliyofanya na Aslay, amesema kuwa unakuta msanii anaposti hata yupo nchi za nje na msanii mkubwa na kusema kolabo inakuja halafu unashangaa mwaka mzima hola.

“Wasanii jamani tuwe tunapunguza mikwara tutakuja kuuana kwa presha kwa kweli maana unakuta msanii anaposti hata yupo na msanii wa nje ya nchi anaandika kolabo ipo njiani kubwa ni wamepiga picha tu,” alisema Maua.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey