Sambaza

Meddy Auaga Ubachela, Afunga Ndoa na Mpenzi Wake wa Kitambo

Mwanamuziki wa Rwanda Médard Jobert Ngabo maarufu Meddy ameachana na ubachela baada ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa siku nyingi, Mimi Mehfira mwenye asili ya Ethiopia wikiendi mwishoni mwa Juma.

Sherehe za harusi ya Meddy aliyepata umaarufu kutokana na nyimbo kama Slowly na Holly spirit zilihudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo wanamuziki nyota kutoka Rwanda.

Sherehe hizo zilifanyika katika mji wa Dallas, Texas Marekani ambako Meddy na mkewe wanaishi.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey