Sambaza

NEDY MUSIC: NINA KOLABO TANO ZA KIMATAIFA MKONONI

Baada ya kuibuka mshindi wa Tuzo za Global Music Awards Africa zinazotolewa nchibni Ghabna katika kipengele cha Mwandishi Bora wa Mashairi wa Mwaka, msanii wa Bongo Fleva mwenye asili ya visiwani Zanzibar, Nedy Music amesema amejipanga kuliteka soko la kimataifa na mpaka sasa, anazo colabo tano alizofanya na wasanii wakubwa barani Afrika.

Akipiga stori katika kipindi cha Bongo 255, Nedy amesema haamini kama wingi wa views kwenye mitandao ya kijamii na skendo za mastaa, zinaweza kumfanya msanii akawa mkubwa bali kuweka juhudi kwenye kazi na kumtanguliza Mungu ndiyo siri ya mafanikio.

Kuhusu kurejeshwa kwa tuzo nchini, Nedy Music amesema hiyo itakuwa hatua nzuri katika kuwapa changamoto wasanii wa Bongo Fleva ambao kwa miaka kadhaa wamekosa ‘platform’ ya kushindanisha kazi zao.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey