Sambaza

AKON Aibiwa Gari Kituo cha Mafuta

TAARIFA iliyogonga vichwa vya habari kwenye  tovuti ya habari za burudani ni kuibiwa kwa gari la star wa muziki kutokea nchini Senegal Akon huko Atlanta nchini Marekani.

Kwa mujibu wa mtandao wa Fox5 gari hilo limeibiwa Jumatatu Mei 24,  wakati ambapo staa huyo akiwa katika kituo cha kujaza mafuta huko Sydney Atlanta, ambapo mtuhumiwa aliruka ndani ya gari hilo aina ya Range Rover akaliwasha na kukimbia nalo.

Hata hivyo, idara ya polisi ya Atlanta wapo katika uchunguzi ili kumbaini mtuhumiwa aliyehusika na kitendo hicho cha kihalifu.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey