Sambaza

NATURE, CHEGGE Wamaliza Tofauti Zao, Warudi Pamoja!

Wasanii wa kitambo kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya Bongo, Juma Nature na Chegge waliowahi kuwa memba wa TMK Wanaume Family, wamemaliza tofauti zao na kurudi pamoja kufanya kazi ambapo wameachia ngoma mpya iitwayo Kucha!

Wakipiga stori kwenye kipindi cha 255 Bongo kinachorushwa na kituo cha +255 Global Radio, Nature na Chegge wamesema wanao mpango wa kuachia kazi nyingine nyingi zaidi walizofanya pamoja na kuwataka mashabiki wao kukaa mkao wa kula!

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey