Sambaza

JOHN BOCCO ATANGAZWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

Nahodha wa Klabu ya Simba, John Bocco ameibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month) baada ya kupata kura nyingi na kuwabwaga mshambuliaji Bernard Morrison na kiungo mkabaji Taddeo Lwanga ambao waliingia fainali kwenye kinyan’ganyiro hicho.

Tuzo hizo zinadhaminiwa na Kampuni ya Emirate Aluminium Profile ambapo wachezaji watatu huingia fainali na kupigiwa kura na mashabiki kupitia tovuti hii ya klabu na baada ya ushindi huo, Bocco atakabidhiwa kitita cha Sh 1,000,000 kama zawadi ya ushindi.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey